Monday, November 20, 2017

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SULEMAN JAFFO AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA NAMELOCK HADI SUNYA WILAYANI KITETO, MANYARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jaffo akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TARURA Victor Seif alipokagua ujenzi wa barabara kutoka Namelock hadi Sanya wilayani Kiteto mkoaniManyara.

Ujenzi unaoendelea wa Barabara ya Namelock hadi Sunya kwa kiwango cha changarawe yenye urefu wa Kilometa 88.1 ukiendelea wilayani Kiteto, mkoani Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jaffo akihutubia wananchi wa Kijiji cha Sunya wilayani Kiteto mkoani Manyara.


No comments:

Post a Comment