Saturday, November 25, 2017
KONGAMANO LA CHAMA CHA WAHASIBU TANZANIA- DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa Selamani Jaffo akifungua kongamano ya Chama cha Wahasibu
Tanzania linalofanyika Mjini Dodoma.
Mwenyekitiwa Chama cha Wahasibu Tanzania
Fred Msemwa akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa Kongamano linalohusu
uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Washiriki na wajumbe wa Chama cha
Wahasibu Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Ufunguzi wa Kongamano lililofunguliwa
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chama
cha Wahasibu Tanzania Fred Msemwa wakati wa ufunguzi wa Kongamano mjini Dodoma.
Labels:
DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment