Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania People&Wildlife Revocatus Magayane akionyesha bidhaa ya asali iliyovunwa kutoka kwenye mradi wa wanawake wajasiriamali wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania People&Wildlife Revocatus Magayane akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Vikundi vya Ujasiriamali vya Wanawake kijijini Loiborsiret wilayani Simanjiro mkoani Manyara Helena Edward
Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania People&Wildlife Revocatus Magayane katikati akitioa maelekezo wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku ya Sh Milioni 10 kwa wanawake wa Kijiji cha Loiborsoit-A wilayani Simanjiro, Manyara.
Wajariamali kutoka vikundi 15 vya Wanawake kijijini Loiborsoit -A Simanjiro, Manyara wakiendelea majina yao tayari kwa kupokea ruzuku ya Sh Milioni 15 kutoka Asasi isiyo ya Serikali ya Tanzania People& Wildlife
Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania People&Wildlife Revocatus Magayane, pamoja na Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro, Manyara Zuena Omar
Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara Zuena Omar akiwa kwenye hafla ya kukabidhi ruzuku ya Sh milioni 10 zilizotolewa na Asasi ya TPW inayojishughulisha na uhifadhi wa mazingira wilayani humo kwenda kwa vikundi vya Wajasiriamali Wanawake wanaojishughulisha na mradi wa ufugaji Nyuki.
Baadhi ya wafanyakazi wa TPW waliohudhuria hafla hiyo hivi karibuni kijijini Loiborsoit -A, wilayani Simanjiro mkoani Manyara
Mwenyekiti wa Vikundi vya Ujasiriamali vya wanawake kijijini Loiborsoit -A wilayani Simanjiro Mkoani Manyara akitoa neno la shukrani.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Loiborsoit -A wilayani Simanjiro, mkoani Manyara Yohana Shinini akizungumza kwenye hafla ya utoaji ruzuku ya Sh milioni 10 kwa vikundi 15 vya wanawake wajasiriamali wa mradi wa nyuki kijijini hapo
Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi wa Mazingira wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania People&Wildlife Revocatus Magayane, akizungumza kwenye hafla ya utoaji ruzuku ya Sh milioni 10 kwa vikundi 15 vya wanawake wajasiriamali wa mradi wa nyuki kijijini Loiborsoit-A, Wilayani Simanjiro mkoani Manyara
Baadhi ya Wanawake wajasiriamali wakiwa kwenye hafla ya kupokea ruzuku ya Sh milioni 10 kutoka Asasi ya TPW kwa ajili ya mradi wa ufugaji nyuki kijijini Loiborsoit-A wilayani Simanjiro mkoani Manyara
Katibu Tafara wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Zueana Omar, akizungumza na wajasiriamali wanawake waliopokea ruzuku ya Sh milioni 10 kutoka Asasi ya TPW inayojishughulisha na uhifadhi wa mazingira wilayani humo, kulia ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Loiborsoit -A Yohana Shinini
Wanawake wajasiriamali wa Kijiji cha Loiborsoit wakimvisha nguo Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Zuena Omar mara baada ya kuwakabidhi ruzuku ya Sh milioni 10 zilizotolewa na Asasi ya TPW inayojishughulisha na uhifadhi wa mazingira
Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro Zueana Omar akiwakabidhi fedha na cheti baadhi ya wajasiriamali wa mradi wa ufugaji nyuki katika kijiji cha Loiborsoit -A, fedha hizo zilitolewa na Asasi ya TPW inayojishughulisha na uhifadhi wa mazingira wilayani humo.
Kikundi cha Wanawake wajasiriamali cha Kipok kinachojishughulisha na mradi wa ufugaji nyuki kijijini Loiborsoit wilayani Simanjiro mkoani Manyara nacho kilipokea ruzuku kutoka TPW
Wanawake kutoka kikundi cha Nyota Njema wakiwa na Cheti pamoja na fedha Sh 956,000 walizokabidhiwa kama ruzuku kutoka Asasi ya TPW inayojishughulisha na uhifadhi wa mazingira wilayani Simanjiro, mkoani Manyara
Wanawake wajasiriamali wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro Zuena Omar mara baada ya kukabidhiwa vyeti na ruzuku zao kutoka Asasi ya TPW inayojishughulisha na uhifadhi wa mazingira wilayani humo
Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi mazingira TPW Revocatus Magayane akifuatilia baadhi ya mambo wakati wa hafla ya utoaji ruzuku kwa wajasirimali wanawake kwenye vikundi 15 ambapo sh milioni 10 zilitolewa kwa ajili ya kuwawezesha wanawake hao wanaoendesha miradi ya ufugaji nyuki.
Mratibu wa Elimu ya Uhifadhi mazingira TPW Revocatus Magayane, akibadilishana mawazo na mmoja wa waliohudhuria hafla hiyo
Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro Zuena Omar akiwa katika picha ya pamoja na akina mama wajasiriamali kutoka Kijiji cha Loiborsoit -A wilayani humo
No comments:
Post a Comment