Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoani aRUSHA Iddi
Kimanta akiwaongoza maofisa wa Jeshi la Wananchi JWTZ kutoa heshima za mwisho
kwa miili ya wanafunzi wa shule ya Msingi Nafco waliokufa baada ya kulipukkwa bomu wakiwa wanachunga mifugo nje kidogo ya eneo linalotumika na jesho kwa mazoezi.
No comments:
Post a Comment