Tuesday, September 19, 2017

WADAU WATAKIWA KUTEKELEZA MALENGO ENDELEVU - ELIMU

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwilapo akifungua Mkutano wa pamoja wa wadau wa elimu waliokutana mjini Dodoma, ili kufanya mapitio ya sekta ya Elimu.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Tixon Nzunda akitoa salamu za Wizara wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wadau wa Elimu mjini Dodoma.

  Wadau wa elimu wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano


No comments:

Post a Comment