Friday, August 18, 2017

THE CEREMONY OF AWARDING STAR RATES TO ACCOMMODATION FACILITIES

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na wadau wa sekta ya Hoteli kutika Mikoa ya Manyara na Arusha wakati wa hafla ya utoaji utoaji vyeti na taarifa kwa huduma za malazi zilizokidhiviwango vya Nyota 1-5 kwa mujibu wa vigezo vya kupanga huduma za malazi vya Afrika Mashariki iliyofanyika Ukumbi wa Nyasa uliopo Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC)



Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Elishiria Kaaya na mdau mwingine wa utalii wakifuatilia hotuba wakati wa hafla hiyo



Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi Cheti cha kutambua hadhi ya  Nyota 3 iliyopewa Un Lodge en Afrique na Little Chemchem iliyopo Tarangire mkoani Manyara kwa Mkurugenzi Lucas Ole Mukusi

 Kaimu Mkurugenzi wa Utalii wizara ya Maliasili na Utalii Grasiasi Mdamu akibasilisha jambo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu Nura Karamagi katikatika na Meneja wa Fedha wa Asilia Joost Freijzer

Wadau wa utalii wakifuatilia hafla ya utoaji vyeti pamoja na Mkurugenzi wa  Un Lodge en Afrique na Little Chemchem iliyopo Tarangire mkoani Manyara Lucas Ole Mukusi

No comments:

Post a Comment