Tuesday, May 30, 2017

KONGAMANO LA VIJANA









Vijana Chukua Msimamo wa amani-Kuzuia Vurugu Kali, Baadhi ya vijana kutoka mataifa mbalimbali 43 duniani wakishiriki kongamano lililofanyika Mei 19, Mwaka huu likiwa na kauli mbiu ya “Tembea & Majadiliano ya Kuzuia Vurugu Kali”

No comments:

Post a Comment