Tuesday, December 13, 2016

SAFARI YA KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO INAENDELEA..

SAFARI YA KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO INAENDELEA...

 Brigedia Jenerali Jairos Mwaseba kushoto akiteta jambo na Jenerali Mstaafu George Waitara kulia katikati yao ni Balozi Sanga wakati wa safari ya kuelekea Kilele cha Mlima Kilimanjaro Dec 9, 2016








Kundi la Wanajeshi wa JWTZ wakiwa katika msafara kuelekea kileleni

No comments:

Post a Comment