Friday, November 25, 2016


 Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu akisalimiana na Wakili Mwandamizi wa Serikali Mark Mulwambo ndani ya Mahakama ya Afrika Mashariki mjini Arusha
 Mbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Bunge la Tanzania katika masuala ya Sheria Pius Mboya mjini Arusha hivi karibuni mara baada ya Jopo la Majaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki kuipa ushindi Serikali dhidi ya rufaa yake iliyokuwa ikipinga Mahakama ya chini kumpa ushindi Komu wa kesi ya kuomba tafsiri ya upatikanaji wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)
 Mbunge Anthony Komu katikati akiteta jambo na Wakili Mwandamizi wa Serikali kulia Mark Mulwambo mara baada ya Jopo la Majaji watano kutoa Rufaa iliyoipa ushindi Serikali dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya chini iliyokuwa imempa ushindi Komu wa madai yake kuhusu uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki kwa Bunge la Tanzania Mwaka 2012.

Wakili Mbogoro kushoto akiteja jambo mara baada ya Rufaa hiyo kusikilizwa mjini Arusha

No comments:

Post a Comment