Friday, November 25, 2016

RUFAA YA KESI YA KOMU MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI EACJ

Wakili Edson Mbogoro akiteta jambo na Mbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu mara baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki kuipa ushindi Serikali katika Rufaa iliyokuwa imekata ipinga uamuzi wa Mahakama ya Chini kumpa ushindi komu dhdi ya madai yake kuwa Bunge la Tanzania lilikosea kuendesha mchakato wa kuwapata Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mwaka 2012.

No comments:

Post a Comment