Wednesday, November 23, 2016

UJERUMANI YATOA EURO MILIONI 40 KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

 Afisa Mwandamizi wa Sheria Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Michel Ndayikengurukiye akimsaidia Katibu Mkuu wa EAC Balozi Liberath Mfumukeko aliyekuwa akisaini mkataba wa utekezaji wa mradi wa afya kwa nchi za Jumuiya hiyo jana mjini hap. Kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Egon Kochanke
Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke akibadilishana mikataba ya msaada wa Mradi wa afya uliotolewa na nchi hiyo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Liberath Mfumukeko jana mjini hapa

No comments:

Post a Comment