Friday, November 25, 2016

MGODI WA TANZANITE ONE WAMALIZA TOFAUTI NA KIJIJI NAISINYAI

Mkurugenzi wa Sky Associate (Tanzania One), Faisa Shabhai mwenye fulana ya njano akiongozana na baadhi ya viongozi na wananchi wa Kijiji cha Naisinyai wilayani Simanjiro Manyara mara baada ya kumalizika kwa kikao chao cha ujirani mwema




 Mkurugenzi wa Sky Associate (Tanzania One), Hussein Gonga akifurahi jambo na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Naisinyai wilayani Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Sky Associate (Tanzania One), Faisal Shabhai akivishwa vazi la kimaasai wakati wa mkutano wa Kijiji cha Naisinyai wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
 Mkurugenzi wa Sky Associate (Tanzania One), Hussein Gonga akivishwa nguo maalumu ya kabila la Wamaasai wakati wa mkutano wa kijiji cha Naisinyai wilayani Simanjiro mkoani Manyara
Wakurugenzi wa Kampuni ya Sky Asscociate (Tanzanite One), Hussein Gonga kushoto na Faisal Shabhai wakiwa wamevaa nguzo za asili ya Kimaasai mara baada ya mkutano wa kijiji uliowakutanisha pamoja na kukubaliana kuanza upya safari ya maendeleo kwa Kata hiyo ya Esinyai inayozungumza mgodi huo wa madini ya Tanzanite wilayani Simanjiro, mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment