Tuesday, November 22, 2016

RC-GAMBO AKAGUA MRADI WA MACHINJO MANYARA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kushoto, Mbunge wa Jimbo la Monduli (Chadema), Julius Kalanga na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Isack Joseph wakiwa katika mkutano wa wananchi katika Kata ya Esilalei wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliyeshika karatasi akizungumza juzi wakati wa ukaguzi katika Mradi wa Machinjio ya Manyara Ranch, kulia kwake mwenye fimbo ni Mbunge wa Monduli (Chadema), Julius Kalanga
Meneja wa Mradi wa AWF, Fidelis Ole Kashe akisoma taarifa ya Machinjio ya Manyara Ranchi iliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha, mbele ya Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo kulia aliyekwenda kutembelea mradi huo juzi

No comments:

Post a Comment