Thursday, February 20, 2014


Baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa askari Polisi Mbunge wa Jimbo la Arusha (CHADEMA), Godbless Lema alitumia muda mwingi kijiuliza kwa kuinamisha kichwa chake chini akiwa haamini kama amekula kichapo kwenye uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Sombetini Jimbo la Arusha, Mgombea wa CHADEMA Ally Bananga aliibuka mshindi.



No comments:

Post a Comment