SHABIKI CHADEMA AKIFURAHIA MAPOKEZI YA MBUNGE WAKE GODBLESS LEMA JIJINI ARUSHA
Shabiki wa CHADEMA akifurahia jambo wakati wa mapokezi ya mbunge wake Godbless Lema hivi karibuni jijiji Arusha.
Shabiki wa CHADEMA akiwa juu ya gari yake aina ya Volkswagen jijini Arusha wakati wa mapokezi ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment