Friday, January 18, 2013

KAAZI KWELI KWELI



ANGALIA jinsi Watanzania wanavyojua kutumia pikipiki, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kiuchumi walibainisha kwenye hili tukio la huyu kijana kwamba wakati vijana nchini wakiona fahali kuzitumikisha pikipiki kama ilivyi pichani, huko nchini kwao imekuwa ni faraja kwani wanatambua kuwa zitakapoharibika kwa wingi ndivyo viwanda vyao vitakavyozidi kuzalisha kwa wingi na kuinua uchumi wa nchi yao.

No comments:

Post a Comment