Baba mzazi wa Mbunge wa Arusha Godbless Lema akiwa ameshikwa mkono katikati akitambulishwa mbele ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA hivi karibuni jijini Arusha. Chini ni baadhi ya Makanda wa Chama hicho wakifuatilia kwa makini ikiwa ni pamoja na kuwajuza wengine kila kinachoendelea kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment