Rais wa kigeni waliokuwa nchini wakati wa mapokezi ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema CHADEMA wakionyesha alama ya vidole viwili kuonyesha kuwaunga mkono wafuasi wa Chama hicho waliokuwa kwenye maandamano hivi karibuni. Kamera ya Jicho la Arusha iliwanasa vilivyo
No comments:
Post a Comment