Waziri Mstaafu na Mwanasiaisa Mkongwe nchini, Mzee George Kahama (kushoto) akizungumza katika mkutano na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam (jumamosi, januari 19, 2013) na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba.
PICHA YA JUU NA CHINI NI:
Waziri
Mstaafu na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee George Kahama akitoka nje ya ukumbi
wa mikutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumamosi, Januari 19, 2013)
ambapo alikutana na Wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni na uzoefu wake katika
uandishi wa Katiba. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba.


No comments:
Post a Comment