JUU
Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas
Masaburi akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba maoni ya
Jumuiya hiyo kuhusu Katiba Mpya jijini Dar es Salaam jana (Ijumaa, Jan 18, 2013)CHINI:
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo jijini Dar es
Salaam leo (Jumamosi, Januari 19, 2013). Bw. Utouh alikutana na Wajumbe wa Tume
hiyo kutoa maoni ya taasisi yake kuhusu Katiba Mpya.


No comments:
Post a Comment