Saturday, January 19, 2013

LOWASSA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO


Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Edward Lowassa  akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Baba yake Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Ole Nangoro. Marehemu Mzee Ole Nangoro aliyefariki Januari 13,  2013 na kuzikwa  January 17, 2013 nyumbani kwake Kiteto alikuwa na umri waa miaka 106 ameacha wajane 3, wajukuu 82 na vitukuu 20.




No comments:

Post a Comment