
Makamanda wa CHADEMA wakiimba wimbo wa Taifa la Tanzania wakati wa mkutano wa kumpokea Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema aliyekuwa akiwashukuru wananchi wa Arusha baada ya Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kumrejeshea ubunge wake uliovuliwa na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha chini ya Jaji Gabriel Rwakibarira Mwaka jana.
No comments:
Post a Comment