Wednesday, October 25, 2017

WAZIRI SULEIMAN JAFFO AONGOZA KIKAO CHA KUPOKEA TAARIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA- DODODMA

 Mtendaji Mkuu wa Taasisiya Uongozi Prof. Joseph Semboja akitoa neno la utangulizi katika kikao cha kupokea taarifa ya tathmini ya Ugatuaji wa Madaraka namapendekezo ya awali ya Mpango wa Maboresho wa Sekta ya Umma Awamu ya Tatu.
 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela(kushoto), akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro wakifuatilia kikao cha kupokea taarifa ya ugatuaji wa madaraka kwa wananchi

  
       Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu Tixon Nzunda wakati wa ufunguzi wa kikao.
 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo (aliyekaakatikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Elimu Tixon Nzunda(kuliaaliyekaa), Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza, Mtendaji         Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Prof.Joseph Semboja wakiwa na Wakuu wa Mikoa walioshiriki kwenye kikao cha kupokea taarifa ya ugatuaji wa madaraka.

No comments:

Post a Comment