Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akizungumza na wanahabari juu ya zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu.
Afisa Uhusiano wa TANAPA Paschal Shelutete kulia akizungumza nan wanahabari wakati wa kuwakaribisha Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto na Mkurugenzi wa Utalii na Masomo Ibrahimu Mussa.
No comments:
Post a Comment