Thursday, September 18, 2014

Mke wa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi (CCM) Antonia Ole Medeye akikabidhi msaada wa magunia matano ya mahindi na ndoo ya mafuta kwa Kituo cha Kulele watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Faraja Center kilichopo Kata ya Sokoni II wilayani Arumeru.

No comments:

Post a Comment