Monday, March 4, 2013

WAFUGAJI WA KIMASAI WATEMBELEA SHAMBA LA NG"OMBE LA RAIS KIKWETE





Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwaonesha ng’ombe wafugaji wa Kabila la Wamasai waliomtembelea katika shamba lake la mifugo kijijini Kwake Msoga,Kata ya Chalinze,wilayani Bagamoyo  Jumapili Machi 3, Mwaka 2013

1 comment: