WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA
Jumla
ya Washiriki 40 wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wapo Kambini
Ikindoleo Lodge Hoteli ya kitalii, Kesho wataungana na wanavyuo
mbalimbali Tanzania katika safari ya kwenda Bagamoyo kutangaza vivutio
vya Utalii wa Ndani ya nchi, Safari hiyo ambayo inakwenda kwa jina la
Tanzania Journalism Endorses Domestic Tour, Washiriki hao wa Miss Utalii
Tanzania 2012/13 ndio ambao watazindua rasmi safari hizo ambazo
zitaanzia Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kisha kuwa wageni rasmi
katika safari hiyo huko Bagamoyo
No comments:
Post a Comment