Wednesday, July 3, 2013

ZIARA YA WANAHABARI WA MKOA WA ARUSHA TBL

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Doris Malulu akiwaonyesha baadhi ya waandishi wa habari aina ya shughuli zinazofanywa kwenye kiwanda hicho wakati ya ziara ya waandishi hao

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Doris Malulu akiwa na baadhi ya waandishi wa habari ndani ya kiwanda cha Bia kilichopo jijini Arusha wakati wa ziara ya wanahabari hao hivi karibuni

No comments:

Post a Comment