Friday, June 7, 2013

MWENGE WA UHURU ULIPOINGIA JIJI LA ARUSHA

 Wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakiwasili kwenye makabidhiano kati ya wilaya ya Monduli na Arusha katika eneo la Kiwanda cha A to Z Mwenge wa Uhuru unaendelea kukimbizwa mkoani hapa.
 Shamrashamra za Mwenge wa Uhuru katika eneo la Kiwanda cha A to Z ziliongeza hamasa kwa wananchi waliohudhuria

 Huyu bwana mwenye fulana nyeusi anaonekana kama kuzidiwa kabisa na hamasa ya wimbo wa Mwenge uliokuwa ukiimbwa wakati wa makabidhiano kati ya wilaya ya Monduli na Arusha
 Hapa humwaambi jambo lolote huyu Mtanzania amezidiwa na furaha ya wimbo wa Mwenge wa Uhuru
 Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kati ya Mkuu wa wilaya ya Monduli Jowika Kasunga na Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela eneo la A to Z



No comments:

Post a Comment