Tuesday, January 8, 2013

RAIS KIKWETE AKISALIMIANA NA MAASKOFU WA KKKT

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dk. Malasusa mara baada ya kumsimika wakfu Uaskofu, Askofu wa Singida aliyepo pembeni.

No comments:

Post a Comment